Terms used

What do these terms mean?

A-level – Advanced Level – Ngazi/hatua ya Juu

ALIS – it is an adaptive baseline assessment for students which gives a predicted grade for A-level – Upimaji wa msingi uliotoholewa kwa wanafunzi,unaowezeshwa kutoa alama tegemewa kwa ngazi/hatua ya juu

AS – Advanced Subsidiary Level – Ngazi Tanzu/Ziada ya Juu

BTEC – business and technology education council – Baraza la Elimu ya Biashara na Teknolojia

CIE – means Cambridge International Examinations, which are taken by students in Year 6 and Year 9 – CIE inamaanisha Mitihani ya Kimataifa ya Cambridge, ambayo hufanywa na wanafunzi wa darasa la sita (6) na kidato cha pili

EYFS – Early Years Foundation Stage – Mfumo wa darasa la awali na chekechea

IELTS – International English language testing system – Mfumo wa kimataifa wa Majaribio ya Kiingereza

IGCSE – International general certificate of Secondary education – Cheti cha Kimataifa cha Elimu ya Sekondari

NECTA – is the Tanzanian national education system – Baraza la Mitihani la Tanzania

SENCO – Special education needs coordinator,  a person in charge of the SEND – Mratibu wa Elimu ya Mahitaji Maalumu, Mtu anayehusika na usimamizi wa Idara ya Elimu ya Mahitaji Maalumu

SEND – Special education needs department – Idara ya ya Elimu ya Mahitaji Maalumu